Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Padre Pio chenye usajili kamili (FULL REGISTRATION) namba 186, kinachotambuliwa na nacte na wizara ya afya, kinachotazamana na hospitali ya rufaa ya Temeke- Dar Es Salaam, kinawatangazia nafasi za masomo katika fani ya afya kwa intake ya mwezi september – kwa mwaka wa masomo 2019/2020

Kozi zinazotolewa ni:

  • TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE- NTA -LEVEL 5
  • ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE NTA-LEVEL 6

Sifa za kujiunga ni ufaulu wa kuanzia alama “D” kwenye masomo ya sayansi yaani fizikia, kemia na biologia na “D” moja kwenye somo lolote lile isipokua somo la dini.

Kwanini uchague Padre Pio!

Chuo kina walimu bora na wa kutosha, mazingira bora kuwezesha mafunzo kwa vitendo, maabara na maktaba ya kisasa kumwezesha mwanafunzi kupata taaluma bora na inayojitosheleza.

Hosteli kwa wanafunzi zinapatikana na ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne.

Form za kujiunga

Chuoni padre Pio College of Health and Allied Sciences-mkabala na hospitali ya rufaa ya temeke,

Morogoro- shuleni Padre Pio Catholic Sec. School-Kihonda

Au kupitia tovuti ya chuo www.pcohas.ac.tz

Pia kuna offer!

Kwa wanafunzi 20 wa kwanza kuja padre pio college watapata punguzo la asilimia 10 ya ada, wahi sasa nafasi ni chache.

Kwa maelezo ya ziada fika chuoni Padre Pio mkabala na hospitali ya rufaa ya TEMEKE-DSM au wasiliana nasi kwa namba 0757 743 547 au 0717682586 au kwa barua pepe; info@pcohas.ac.tz